#happyindepenceday Instagram Photos & Videos

happyindepenceday - 42.4k posts

Top Posts

 • Happy Independence Day India
🇮🇳🇮🇳🇮🇳 I still remember how as a child I used to dream of traveling to India. There were just something so different and interesting about this country and it’s culture, that made it extremely exotic to my eyes and ears back home in Sweden. And one day I finally booked myself a ticket and came here!!! And it’s been my home ever since❤️🙏🇮🇳🌟.
#happyindepenceday #india #love
Much thank you to @artist_teju_jangid for creating my this photo🌟

 • 94,267 327 15 August, 2019
 • з Днем Незалежності, країно🇺🇦 #happyindepenceday най поруч будуть найближчі та найрідніші, най в серці живе свобода та віра, най усі негаразди та випробування дають лише силу та досвід, най попереду буде лише краще, легше та завжди красивіше💔 #говоритисерцем
•
наш фемілі лук бай @etno.lviv.ua🙏🏼 дякуємо за культивацію українського стилю та любов до кожного хрестика на вишиванці🇺🇦

 • 12,956 74 24 August, 2019
 • Happy independence day to both Pakistan 🇵🇰 and India 🇮🇳 with this beautiful song 💚🧡
-
Song: Ae Watan
Movie: Raazi (2018)

 • 41,405 82 15 August, 2019

Latest Instagram Posts

 • Wakati tunakumbuka Uhuru wa nchi yetu Leo, in jambo bora pia kuangalia kama na wewe binafsi una Uhuru wako stahiki.

Kuna watu ambao wamefungwa na wapo katika utumwa wa kushindwa kufanya maamuzi yao binafsi mpaka waone marafiki au ndugu wamefanya maamuzi hayo. Wewe usiwe mmoja wao.

Kuna watu wameshindwa kuanza biashara kwani wanasubiri wengine waanze na wao wafuate. Usiwe mmoja wao.

Kuna watu wameacha mwaka umepita pasipo kuanza familia kama walivyopanga, wanangoja na kusubiri. Bado hawajapata Uhuru wa kuamua. Usiwe mmoja wao wewe.

Kuna watu hawajapata Uhuru wa kuamua kusonga mbele katika elimu na Leo wanasherehekea Uhuru wa nchi. Wewe sherehekea Uhuru wa nchi na wa kwako binafsi.

Uhuru wa Tanganyika ulituweka huru kutoka kwa wakoloni na tukaanza kujidai na utajiri wa nchi yetu. Tusherehekee Uhuru huu na huku tukitambua utajiri uliopo ndani yetu.

#happyuhurudaytanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #happyuhuruday #happyindepenceday #NafanikiwaInspiration

  #happyuhurudaytanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #happyuhuruday #happyindepenceday #NafanikiwaInspiration
 • 6 0 15 minutes ago
 • Heri ya siku ya uhuru wa Tanganyika kwa wateja wetu wote na Watanzania. #happyindepenceday

 • 5 0 49 minutes ago
 • Wakati tunaadhimisha miaka 58 ya Uhuru wetu mwambie mwenzako... Amani ya Taifa ni kitu muhimu kuliko Jambo lolote.

Usishawishike kuiharibu tunu adhim ya amani yetu.... #happyindepenceday 
@kissfmtanzania

 • 5 0 2 hours ago
 • Good Morning. 
#Tanzania - #HappyIndepenceDay "Bendera ya nchi yetu na ipae juu kila mwaka tunapokuwa na alama ya kumbukumbu ya uhuru wetu" - Mwalimu Julius Nyerere. 
Royal Seed; Supporting Independent Citizens.

 • 1 0 2 hours ago
 • Ni miaka 58 sasa imepita tangu tupate Uhuru. Tunajivunia Uhuru wetu na Utaifa wetu .Lakini zaidi Uzalendo , Uwajibikaji Na Ubunifu Ni Msingi Wa Ujenzi Wa Uchumi Wa Taifa Letu.

#happyindepenceday
09.12.2019

 • 6 0 2 hours ago
 • UHURU DAY...... Kipindi nipo mdogo hata kabla ya kuanza shule ya vidudu ama awali ama chekechekea sikuwa najua Kama tuliwahi kuwa chini ya ukoloni kabla ya kuwa huru.

Babu yangu Ana alikuwa ni msomaji saana wa vitabu vya kijamaa, (Am proud of him... RIP babu yangu Mzee SHABANI). Lakini niliinjoi saana stori anazowapigia watu japo sijajua kwa kina anachosimulia.

Taratibu umri unasogea na muda wa shule ukafika nikaanza shule moja ya maswali niliyokuwa nakosa kwenye maarifa ya jamii ilihusu maswala ya UHURU maarufu Kama Tisa December.

Ngoja tufupishe stori katika historia, ni zaidi ya miaka hamsini (58) ya Uhuru wa Tanganyika(Tanzania), moja ya Mambo ya kujivunia ni Uhuru wa haki za kibinaadamu kwa maana haki ya kuishi, kutembea, kusema ama kujieleza, na mwingine mwingi.

Hayo pia najivunia, lakini pia najivunia Uhuru wa kuamua Kama Taifa na Tunu nzuri tuliyojaliwa Kama Taifa hasa amani na upendo, Mluguru unao Msukuma mnapiga stori bila ubaguzi wa kidini, yes Hii ni Tanzania.....I LOVE THIS NATION, I LOVE EVERYTHING IN THIS NATION.

Jamani maghorofa sio milima ya uluguruni nchi inajengeka. Babu yangu alisema wakoloni walikuwa wabaya walitutesea saana babu na Bibi zetu.

#RIPWAASISIWATAIFA
#RIPBABUYANGU
#happyindepenceday 
#tanzania🇹🇿 @kissfmtanzania 
@ikulu_mawasiliano

  #tanzania 🇹🇿 @kissfmtanzania
  @ikulu_mawasiliano
 • 7 2 3 hours ago
 • DEC 09, 1961 SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA

Ifahamike kwamba Tanganyika imepata uhuru Dec 09, 1961 baada ya kuwaondoa wakoloni (waingereza) kwa amani bila ya kumwaga damu chini ya mkombozi na mwasisi hayati baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Siku hii inasherehekewa kila ifikapo Dec 09 ya kila mwaka. Mpaka sasa taifa la Tanganyika linaadhimisha miaka 58 ya uhuru.

Dec 09, 2019 maadhimisho ya siku ya uhuru kitaifa yanafanyika jijini Mwanza. 
#HappyIndepenceDay #Uhuru #Amani #Umoja #Ujamaa #Uzalendo #Tanganyika #Tanzania #Dec9 #1961 #MaMbi

 • 25 0 4 hours ago
 • Valkoista ja mustaa vuorotellen.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Niin korkealle kuin pääni taipuu tuulen kotiin,⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
siniseen sulautuviin oksiin.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Lasken katseeni ja rutistan lujasti.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Sinuun saan nojata.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Hyvää itsenäisyyspäivää rakas kotimaamme Suomi! 💙⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#happyindepenceday⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#finland⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#suomi⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#hohdekosmetiikka⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#luonnonkosmetiikka⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#vegaaninen⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#eettinen⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#orgaaninen⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#puhdas⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#kotimainen⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#luonnollinen⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#organicskincare⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
#fromfinland
 • Valkoista ja mustaa vuorotellen.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  Niin korkealle kuin pääni taipuu tuulen kotiin,⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  siniseen sulautuviin oksiin.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  Lasken katseeni ja rutistan lujasti.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  Sinuun saan nojata.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  Hyvää itsenäisyyspäivää rakas kotimaamme Suomi! 💙⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  .⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  .⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  .⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #happyindepenceday ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #finland ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #suomi ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #hohdekosmetiikka ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #luonnonkosmetiikka ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #vegaaninen ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #eettinen ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #orgaaninen ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #puhdas ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #kotimainen ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #luonnollinen ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #organicskincare ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
  #fromfinland
 • 67 0 6 December, 2019
 • Oi Suomi, katso, sinun päiväs koittaa
Yön uhka karkoitettu on jo pois
Ja aamun kiuru kirkkaudessa soittaa
Kuin itse taivahan kansi sois
Yön vallat aamun valkeus jo voittaa
Sun päiväs koittaa, oi synnyinmaa

#martat itsenäisyyspäivä #Suomi #Suomi102 @marttailu #happyindepenceday #thisisfinland

 • 142 2 6 December, 2019
 • Kun on oma maa jota rakastaa
sen musta multa ja harmaa taivas
matala valo metsien harteilla 
ja talveen tyyntyneet vedet

sillon tietää 
vaikka kaukaakin 
ettei mistään löydy
niin syvää hiljaisuutta
helmoja joissa levätä
avaran armoilla

painaen juurensa 
turvalliseen ja 
tuttuun syliin..❤️
Elina Salminen
Hyvää Itsenäisyyspäivää!🇫🇮💙 #suomi #finland #happyindepenceday 🇫🇮 #hyväsuomi 💪🏼😘 #itsenäisyyspäivä #kiitosveteraanit 🙏🏻❤️

 • 51 0 6 December, 2019